Nenda kwa yaliyomo

Milton Makongoro Mahanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milton Makongoro Mahanga (amezaliwa tar. 3 Aprili 1955) ni mbunge wa jimbo la Ukonga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Milton Makongoro Mahanga". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu Milton Makongoro Mahanga

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milton Makongoro Mahanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.