Milima ya Mindu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milima ya Mindu iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Kilele cha juu kiko mita 823 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]