Milima ya Mbarika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milima ya Mbarika iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Kilele cha juu kiko mita 860 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]