Milima Apalachi
Jump to navigation
Jump to search
Milima Apalachi inapatikana Marekani na Kanada kwa urefu wa kilomita 2,400.
Ilitokea miaka milioni 480 hivi iliyopita na tangu hapo kimo chake kimepungua hadi kuwa na kilele cha juu cha mita 2,037 tu.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima Apalachi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|