Nenda kwa yaliyomo

Milica Šviglin Čavov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milica Šviglin Čavov alikuwa daktari wa kwanza wa kike kutoka Croatia.[1][2] Alihitimu kutoka Shule ya Matibabu huko Zürich mnamo mwaka 1893, lakini hakuruhusiwa kufanya kazi huko Kroatia.[3] Kazi yake ya kwanza ilikuwa katika kituo cha afya huko Ujerumani. Aliolewa na daktari wa Kibulgaria, Bogdan Chavov, na kuhamia Bulgaria na kufungua kituo binafs yeye na mume wake.[4]

  1. Žuškin, Eugenija; Mustajbegović, Jadranka; Jelinić, Jagoda; Pucarin-Cvetković, Jasna; Milošević, Milan (2007-12-01). "Effects of Volcanic Eruptions on Environment and Health". Archives of Industrial Hygiene and Toxicology. 58 (4): 479–486. doi:10.2478/v10004-007-0041-3. ISSN 0004-1254.
  2. Žuškin, Eugenija; Mustajbegović, Jadranka; Jelinić, Jagoda; Pucarin-Cvetković, Jasna; Milošević, Milan (2007-12-01). "Effects of Volcanic Eruptions on Environment and Health". Archives of Industrial Hygiene and Toxicology. 58 (4): 479–486. doi:10.2478/v10004-007-0041-3. ISSN 0004-1254.
  3. Žuškin, Eugenija; Mustajbegović, Jadranka; Jelinić, Jagoda; Pucarin-Cvetković, Jasna; Milošević, Milan (2007-12-01). "Effects of Volcanic Eruptions on Environment and Health". Archives of Industrial Hygiene and Toxicology. 58 (4): 479–486. doi:10.2478/v10004-007-0041-3. ISSN 0004-1254.
  4. Virani, Dr. Farida (2023). "Application of HR Analytics in Business". MET MANAGEMENT REVIEW. 07 (02): 05–19. doi:10.34047/mmr.2020.7201.