Nenda kwa yaliyomo

Mike Brewster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Brewster alizaliwa Julai 27, 1989 ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Marekani aliyekuwa katikati ya uwanja na kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu katika timu ya Valparaiso. Alicheza katika chuo cha kikuu cha jimbo la Ohio. Brewster alisainiwa na Jacksonville Jaguars kama mchezaji asiyechaguliwa kwenye rasimu ya mwaka 2012.[1][2][3]

  1. "Mike Brewster Recruiting Profile". Scout.com.
  2. Pauline, Tony. "Stanford's Luck headlines early look at top 2012 draft prospects", Sports Illustrated, May 3, 2011. Retrieved on 2024-09-22. Archived from the original on 2011-05-07. 
  3. "Mike Brewster", CNN. Retrieved on 2024-09-22. Archived from the original on 2012-04-22.