Nenda kwa yaliyomo

Mikaël Cantave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mikaël Gabriel "Miki" Cantave (alizaliwa Kanada, 25 Oktoba 1996) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu ambaye anachezea kama kiungo kwa timu ya Vancouver FC.

Anaiwakilisha timu ya taifa ya Haiti.[1][2]

  1. Nava, David (Julai 6, 2023). "Mikaël Cantave: A clear sense of purpose". Vancouver FC.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Campo de futbol villarrobledo" [Villarrobledo soccer field]. Mas Que Goles (kwa Kihispania). 19 Novemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikaël Cantave kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.