Miemsie Retief

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miemsie Retief
Amezaliwa Miemsie Retief
Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji na mchoraji
Miaka ya kazi 1959-1969
Ndoa Ameolewa

Miemsie Retief ni mwigizaji na mchoraji wa Afrika Kusini. Alianza kazi yake kama mwanamitindo na akaigiza kwa mara ya kwanza katika ‘’Nooi van my hart,’’ Kiafrikana kwa’Girl of my heart’. Alichukuliwa kama Mwafrika kusini Marilyn Monroe, kwa sababu ya nywele zake za njano mpauko na mwili mzuri.

Ameolewa na Fil Heckroodt mkurugenzi wa zamani wa sharia katika SABC. Wanaishi kwa sasa Aucklandpark, Johannesburg.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miemsie Retief kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.