Nenda kwa yaliyomo

Michoro ya mwambani ya mkoa wa Djelfa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanaa ya Neolithic katika Djelfa.

Michoro ya mwambani ya mkoa wa Djelfa katika Safu ya Ouled Naïl (Algeria) inajumuisha michoro ya kale za pango na maandishi ya petroglyphs katika enzi ya Neolithic yaliyotambuliwa tangu 1914.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michoro ya mwambani ya mkoa wa Djelfa kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.