Nenda kwa yaliyomo

Michael Grace Phipps

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Phipps, circa mwaka 1940

Michael Grace Phipps (10 Januari 1910 - 13 Machi 1973) alikuwa mfanyabiashara, bingwa wa mchezo wa polo, mmiliki/mfugaji wa farasi wa mbio na mfadhili wa Marekani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Grace Phipps kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.