Melinda French Gates

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Melinda French Gates (aliyezaliwa Melinda Ann French 15 Agosti 1964) [1] ni mfadhili na mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani na meneja mkuu katika Microsoft. French Gates amekuwa akiorodheshwa na Forbes kama mmoja wa wanawake wenye nguvu zaidi ulimwenguni. [2]

Bibliografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melinda French Gates kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.