Melanie Stabel
Melanie Stabel (amezaliwa 30 Septemba 1999) ni mwanamichezo kiziwi mpiga risasi wa Ujerumani.[1].
Aliiwakilisha vema Ujerumani kwenye mashindano ya msimu wa joto ya Kiolimpiki ya Viziwi kwa kuchukua medali tatu za dhahabu kwa upande wa wanawake kwa kurusha bunduki ya hewa kwa umbali wa mita 10 na kupata point 412.6 kwenye fainali[2][3][4].
Melanie alivunja rekodi ya viziwi duniani kwa kupiga risasi hewani umbali wa mita 10 katika mashindano ya majira ya joto ya kiolompiki ya viziwi, na akiwa na umri wa miaka 17 kwenye mchezo wa kimataifa kwa ushiriki wake wa mara ya kwanza[5][6]Alipata pia medali mbili za fedha katika mashindano ya wanawake ya bunduki ya hewa ya 50m na bunduki ya 50m ya kulala. Melanie pia alivunja rekodi ya dunia ya viziwi kwa wanawake katika kitengo cha bunduki ya 50m ya kulala kwa alama ya rekodi ya 615.3 wakati wa kufuzu kama sehemu ya Majira ya Joto ya 2017. [7][8][9]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Melanie Stabel | Deaflympics". www.deaflympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ "Women's 10m air rifle | 2017 Summer Deaflympics". www.deaflympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ Germany, Schwarzwälder Bote, Oberndorf. "Sportschiessen: Melanie Stabel gleich zweimal mit Edelmetall belohnt - Sportschießen - Schwarzwälder Bote". www.schwarzwaelder-bote.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ Administrator. "Melanie Stabel – eine junge erfolgreiche Sportschützin!". www.bg-sv.de (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-04. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ "10m air rifle for women | ICSD Deaf world records". www.ciss.org (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-03. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ Allgemeine, Augsburger. "Sie kann die Schüsse nicht hören", Augsburger Allgemeine. (de)
- ↑ "50m rifle prone for women | ICSD Deaf world records". www.ciss.org (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-03. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ "Deaflympics 2017 Samsun". deaflympics2017.org (kwa Kituruki). Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
- ↑ "Melanie Stabel gleich zweimal geehrt - Deutscher Schützenbund e.V." www.dsb.de. Iliwekwa mnamo 2017-12-03.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Profile at ICSD Archived 3 Desemba 2017 at the Wayback Machine.
- Profile at Deaflympics Archived 4 Desemba 2017 at the Wayback Machine.