Mbaruk Kassim Mwandoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbaruk Kassim Mwandoro (amezaliwa 12 Juni, 1942) ni mbunge wa jimbo la Mkinga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Mbaruk Kassim Mwandoro (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.