Nenda kwa yaliyomo

Mauro Barni (mhandisi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauro Barni (alizaliwa mwaka 1965, Prato) ni mhandisi na profesa wa Kitaliano.[1] Alihitimu katika Chuo Kikuu cha Florence mwaka 1991.[2] Mnamo Septemba 1998, alikua profesa mshirika katika Chuo Kikuu cha Siena na baadaye akapata cheo cha profesa kamili. Barni aliteuliwa kuwa Fellow wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Elektroniki (IEEE) mwaka 2012 kwa mchango wake katika usindikaji wa ishara na picha kwa ajili ya usalama wa multimedia.[3]

  1. "Visual Information Processing and Protection Group".
  2. Lu, Chun-Shien (31 Julai 2004). Multimedia Security: Steganography and Digital Watermarking Techniques for Protection of Intellectual Property: Steganography and Digital Watermarking Techniques for Protection of Intellectual Property. Idea Group Inc (IGI). ISBN 9781591401933.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "IEEE Fellows 2012".