Nenda kwa yaliyomo

Matshediso Mholo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matshediso Florence Mholo ni msanii na mwanaharakati wa nchini Afrika Kusini na mwanachama wa kundi la platinam la Afro-pop Malaika.

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Mholo alikutana na wanakikundi wenzake Bongani Nchang na marehemu Jabulani Ndaba katika kwaya ya kanisani mwaka 2003, wakati akifundisha muziki na maigizo katika Kituo cha Utamaduni cha Mabana kilichopo Mmabatho.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-24. Iliwekwa mnamo 2010-12-19.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matshediso Mholo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.