Matapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matapa ni chakula cha kawaida kinacholiwa Msumbiji,kinachoandaliwa kwa majani machanga ya mihogo, ambayo kwa kawaida husagwa kwenye chombo kikubwa cha mbao kabla ya kupikwa na vitunguu saumu, vitunguu na tui la nazi. Sahani nyingi za "Matapa" hutumika katkika vyakula mbalimbali kama korosho, kaa au uduvi na zinaweza kuliwa na mkate, wali, xima au peke yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]