Masoud Abdalla Salim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Masoud Abdalla Salim (amezaliwa 24 Oktoba, 1962) ni mbunge wa jimbo la Mtambile katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Masoud Abdalla Salim (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.