Nenda kwa yaliyomo

Mary Nagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mary Michael Nagu)
Nagu

Mary Nagu (amezaliwa tarehe 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Mary Nagu". 3 Juni 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.