Nenda kwa yaliyomo

Marcel Vonlanthen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marcel Vonlanden (alizaliwa 8 Septemba 1933) ni mshambuliaji wa soka kutoka Uswisi ambaye alichezea timu ya taifa ya Uswisi katika Kombe la Dunia la FIFA 1962. Pia alichezea klabu ya FC Lausanne-Sport.