Makumbusho ya Victoria (Maporomoko)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Victoria Falls Field Museum (kwa Kiingereza: Victoria Falls Field Museum) ni makumbusho yanayopatikana kando mwa mto Zambezi katika maporomoko ya Victoria.

Ni makumbusho yanayoelezea mahusiano ya mji na uundikaji wa maporomoko.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Victoria (Maporomoko) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.