Majadiliano ya mtumiaji:Professor Jay

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salaam Prof Jay. Nilitaka kukukaribisha hapa kwenye wikipedia ya Kiswahili!. Lakini sasa nimeshangaa kidogo kwa sababu umefuta maandishi yote kwenye makala ya Carola Kinasha. Natumaini ya kwamba imetokea bila kusdi. Menginevyo haitakiwi kufuta makala bila maelezo. Narudisha makala sasa naombe uwe mwangalifu. Hata hivyo karibu kuchangia! --Kipala 07:44, 24 Agosti 2007 (UTC)[jibu]


Jambo sana mimi ni mrundi nafulahi sana nanyimbo zako nasautiyako.Lakini nakuomba nyimboyako kwenye E-MAIL yangu hiyo nyimbo ni NIKUSAIDI EJE. Vinginevyo nashukuru kwenye jibu utanipa sawa. Samuel Niyonkuru.