Majadiliano ya mtumiaji:Pmusyoki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu Bwana Pmusyoki[hariri chanzo]

Ninafurahi kukukaribisha hapa! Kuna kazi nyingi hadi kamusi hii itakuwa kitu chenye maana hivyo tuchange sote! Siasa ni mada muhimu halafu mtu mwingine mwenye dhana jinsi ya kuandika makala anahitajika sana! --Kipala 13:21, 28 Februari 2006 (UTC)[jibu]