Majadiliano ya mtumiaji:Muhammad Mahdi Karim

    Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

    Karibu sana katika wikipedia ya Kiswahili! Unakaribishwa kabisa kupanga kibanda katika kijiji chetu. Kama umezoea maisha ya jiji huko en:wiki utaona ya kwamba hapa tuko mashambani. Tumemsubiri sana mtu wa huko anayezoea tayari kawaida za wikipedia akitutembelea na kuchangia!! Ukiwa na swali - uliza tu; ukiwa na hoja: Uchangie! Karibu al-hajj! --Kipala 18:07, 27 Septemba 2007 (UTC)Reply[jibu]

    Ndugu Mohammed, niliwaza kama unapenda kuchangia lakini hujiamini bado sana katika lugha basi kwa nini usijaribu kuandika makala za kufanana? I mean if you work on similar articles it is a good way to get into the language. As I see that you have worked on nembo na bendera, maybe have a look at Category:Bendera za Afrika and continue with the missing ones. Basically we should have all the countries of the world by now but only some with the flag. What do you think? Descriptions will be similar in may cases (mstatili, kanda, milia ...) because most flags have very similar patterns. I think it would be great. --Kipala 10:04, 30 Septemba 2007 (UTC)Reply[jibu]