Majadiliano ya mtumiaji:Moses (usurped)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moses karibu kwenye wikipedia yetu! Naona umeanza kuchangia karibu tu! Nakuomba angalia mwanzoni makala ya msaada (unapata kiungo chake kwenye ukurasa wa Mwanzo). Itakusaidia kutafakari na kupanga vizuri makala zitakazolingana na masharti ya kamusi elezo. Labda anza na makala fupi - na uzoee namna ya kuandika katika Kamusi elezo pia jinsi gani kupanga na kuhariri makala. Ukipenda Ukiwa na swali uliza tu! --Kipala 13:17, 14 Februari 2007 (UTC)[jibu]

Bwana Moses asante kwa jibu lako. Naona umependa hasa mambo ya dini. Inaonekana umesoma mengi una habari za kuchangia. Ila tu ningeshauri kweli ungeanza na mambo mafupi kwanza. Nikupe mfano: Makala ya Ubuddha umejitahidi lakini inafaa kugawiwa. Sehemu kubwa ya yaliyomo yake ni zaidi kuhusu Gautama Siddharta anayestahili makala yake pekee yake. "Buddha" ingekuwa makala nyingine kwa sababu katika Ubuddha wanajua mabuddha mbalimbali. Halafu "ubuddha" kama dini inahitaji habari zaidi hasa juu ya dini, historia yake, enezi, waumini, madhehebu.
Vivyi hivyo "Ukristo" ungepata vipengele vyake kulingana na masharti ya kamusi elezo. Ukipenda kuendelea maandishi yako naomba usikate tamaa ikibadilika sana siku moja. Naona pia ungetafakari kidogo juu ya tofauti kati ya hoja na habari za kihistoria. "Ukristo" kwa sasa hauonekani makala inataka kuelekea wapi. --Kipala 17:19, 15 Februari 2007 (UTC)[jibu]

Request for usurpation[hariri chanzo]

Hello, Moses (usurped). A request has been made via SRUC (azwiki) to usurp, or "take over", your username because another user would like to use it to edit.

If you do not object to being renamed to a new username in order for another user to use the name you currently have, please log in and post a reply here saying so (you may also tell us what username you would like to be renamed to, or we will provide you with a generic one) or use Special:GlobalRenameRequest.

If you do nothing, the request may be filled shortly, and your account will be moved to a generic username. You may request that it be moved to a new username of your choice at any time.

If you object to being renamed, please log in and make an edit to this page clearly stating that you object to usurpation. Any objection on your part will prevent usurpation.

Please note that even if your current username is usurped, you can still edit and your data will not be lost; your preferences, watchlist, and other user settings will be transferred to a new username.

Thank you for your time. Turkmen (majadiliano) 06:58, 16 Desemba 2022 (UTC)[jibu]