Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:MUNGU AZUNGUMZA NA WATU WAKE

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

πŸ€”πŸ€”πŸ€” *JE, NI WATU GANI WATAKAO INGIA MBINGUNI??* πŸ€”πŸ€”


Je, ni wakatoliki pekee yao au ni waagrikana pekee yao au ni wasabato peke yao au ni walokole pekee yao au ni waislam pekee yao au ni watu gani watakao ingia mbinguni??? πŸ€”πŸ€”

ndugu yangu, watu wengi watakosa kuingia mbinguni hii ni kwa sababu shetani kawadanganya kuwa ""kila anaye hubiri jina la YESU au anaetoa mapepo au anaefanya miujiza mingi au kuimba nyimbo za injili basi ataingia mbinguni"" lakini biblia inatwambia hivi πŸ‘‡πŸ‘‡ Mathayo 7:21-23 [21]Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. [22]Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? [23]Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. πŸ‘†πŸ‘†

  • Lakini ni huzuni sana maana watu hao wanajuhudi sana kwenda kanisani, kutoa zaka na sadaka nk na mtume paulo anawasema hivi*

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ .

  • Rumi 10:1,2 "ndugu zangu nitakayo sana moyoni mwangu, na dua yangu ni mwombayo MUNGU, ni kwaajili yao, ili waokolewe, kwa maana nawashuhudia kwamba WANAJUHUDI KWA AJILI YA MUNGU, LAKINI SI KATIKA MAARIFA"*

Je, maarifa hayo ni yapi?? πŸ€”πŸ€”

πŸ‘‡πŸ‘‡

  • hosea 4;6 (watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa UMEISAHAU SHERIA YA MUNGU WAKO mimi nami nitawasahau watoto wako)*

Kumbeee πŸ€”πŸ€”πŸ€” kumwamini YESU kunaambatana na utiifu wa amri za MUNGU na usipofanya ivo unaitwa *mwongo* maana imeandikwa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

  • 1 yohana 2;3,4(na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye ikiwa tunashika AMRI ZAKE yeye asemaye nimemjua wala hashiki amri ni MWONGO wala kweli haimo ndani yake)*

😰😰😰 Huzuni ni kuwa hata isaya 24;3-6 nae anasema watu tunajifanya tunampenda YESU kumbe hatujaacha wizi, uongo, mauaji nk na mbaya zaidi tumeibadili siku ya sabato toka jumamosi kwenda siku ya jumapili kama ndiyo sikukuu ya ibada katika juma. Kwa kweli ni huzuni sana 😰😰😰😰😰😭😭😭😭

. . . . .

  • SHETANI KADANGANYA TENA KUHUSU MIUJIZA JUU YA WANADAM ILI KUWAAMINISHA WATU KUWA KUKIWA NA MIUJIZA TU SEHEMU YOYOTE UJUE PANA MUNGU HAPO*

. . . ukifikili kuwa miujiza ni uwepo wa MUNGU basi miujiza hii inayokuja na mingine inatendeka sasa lazima umwabudu shetani tuu . . . . ufunuo 13:11-16 kisha nikaona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika nchi naye alikuwa na pembe mbili mfano wa wana kondoo AKANENA KAMA JOKA naye atumia uwezo wote wa Mnyama yule wa kwanza mbele yake naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama yule wa kwanza ambaye jeraha la mauti lilipona NAYE AFANYA ISHARA KUBWA HATA KUFANYA MOTO KUSHUKA TOKA MBINGUNI UJE MBELE YA WANADAM NAYE AWAKOSESHA WALE WAKAAO JUU YA NCHI KWA ISHARA ZILE ALIZO PEWA KUZIFANYA...................... AKIWAAMBIA WAKAAO JUU YA NCHI KUMFANYIA sanamu huyo mnyama................... AKAPEWA KUTIA PUMZI HATA SANAM YA MNYAMA INENE na kuwafanya hao wasio sujudu sanamu ya mnyama wauwawe naye awafanya wote .................. watiwe chapa ya mnyama mkono wao wa kuume au katika vipaji vya nyuso zao. .


  • kwa fungu hilo la ufunuo linatuonyesha kuwa shetani naye anatumia miujiza ili awadanganye watu wamkosee MUNGU sasa basi tusitazame miujiza ya mtu furani na tukasema ana MUNGU ndani yake kumbe anashetani ndani yake*

. . pia ufunuo 16;12-14 na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto mkubwa frati maji yake yakakauka........................... *NIKAONA roho TATU ZA UCHAFU ZILIZOFANANA NA VYULA ZIKITOKA KATIKA KINYWA CHA YULE JOKA NA KATIKA KINYWA CHA YULE MNYAMA NA KATIKA KINYWA CHA YULE NABII WA UWONGO HIZO NDIZO roho za mashetani ZIFANYAZO ISHARA ZITOKAZO NA KUWAENDEA WAFALME WA ULIMWENGU WOTE* KUWAKUSANYA KWA VITA YA SIKU ILE KUU YA MUNGU MWENYEZI" . . .

  • katika fungu hili hapa juu πŸ‘† la ufunuo linatuonyesha wazi kua roho za mashetani zinawadanganya wengi kwa miujiza. Kwa hiyo ndugu tusitafute miujiza bali mtafute Yesu kristo pekee*

. . Mathayo 24:24 [24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, *nao watatoa ishara kubwa na maajabu;* wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. . . Kwa fungu hilo πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† YESU anatukumbusha kuwa manabii na mitume na makristo wengi wa uongo nao wanatumia miujiza kuwapoteza watu wa MUNGU. Kwa hiyo tusitafute miujiza bali tumtafute YESU katika kweli yake yaani biblia na maandiko mengine matakatifu . . . ndugu kumbuka pia hata musa alipo kuwa kwa farao wachawi wa farao waliweza kuiga miujiza ya musa kutoka 7;10-12. Hivyo sio kila muujiza ni muujiza toka kwa MUNGU . . . .

  • lakini pia vipi kuhusu ROHO wa MUNGU?? Je kuna ROHO wa MUNGU na wa shetani??*

. Ndiyo, kuna ROHO wa MUNGU na wa shetani. Tafadhali soma mafungu haya πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1 Yohana 4:1 [1]Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. . . . Kwa fungu hili tunaambiwa tusiziamini kila ROHO bali tuzijalibu kama zimetoka kwa MUNGU au kwa shetani.

. Ni vema pia tukakumbushana kuhusu hili πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡.

  • 2 kortho 11;12-15 (lakini nifanyalo nitalifanya ili niwapinge hao watafutao nafasi wasipate nafasi ili kwamba katika neno hilo wajisifiao waonekane kama sisi maana watu kama hao ni mitume wa uwongo watenda kazi kwa hila wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa kristo wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wawatumishi wa haki ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao"*

Kwa fungu hili tunakumbushwa kuwa watumishi wa shetani na shetani mwenyewe wamejigeuza wawekama watumishi wa MUNGU ili waweze kuwadanganya watu wa MUNGU. . Je, πŸ€”πŸ€” utawatambuaje watu hao??? . .

  • Isaya 8:20*
  • [20]Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.*

. Sharti watu hao lazima watii amri za MUNGU na wawe na imani ya YESU hivyo ndivyo hata ufunuo anasisitiza hilo πŸ‘‡πŸ‘‡ kwa hiyo kwa matendo na maneno yao ukiyapia kwa imeandikwa basi utaona jinsi wanavyo pingana na neno la MUNGU. .

  • ufunuo 14:12( hapa ndipo penye subira ya watakatifu HAO WAZISHIKAO AMRI ZA MUNGU NA IMANI YA YESU)*

. . na pia shetani anapigana sana na hao wanao zishika amri za MUNGU NA KUWA NA USHUHUDA WA YESU ufunuo 12;17 . Inasomeka hivi πŸ‘‡πŸ‘‡

  • Ufunuo wa Yohana 12:17*
  • [17]Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.*

.

  • HITIMISHO*

Watakao enda mbinguni ni wale wotevambao wanatii amri kumi za MUNGU yaani hawaibi, hawazini, hawasemi uongo, hawavunji sabato (jumamosi), hawaui, hawaabudu miungu wengine na ikiwepo amri yoyote ile hawendi kinyume chake

Pia kwa habari ya imani ya YESU, wanamwamini kuwa ndiye anaewasafisha dhambi zile za kuzini, kuiba, kusema uongo, kuvunja sabato, kuua, kuabudu miungu wengine nk. pia ndiye mfalme wetu na BWANA wa MABWANA wetu. na ndiye njia ya uzima wetu. .

. Kama ufafanuzi mwingine zaidi gusa link hiyo apo juu πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†


πŸ‘†πŸ‘†

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ *Tafadhali share ili na wengine wajifunze* πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

MUNGU akubariki sana unapo ikubali kweli yake