Majadiliano ya mtumiaji:MAJALIWA SHIJA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MAJALIWA DEUS SHIJA Hili ndilo jina langu nilopewa na Baba yangu mkubwa mzee DEUS SHIJA KABADI MLEBESHI.

baba YANGU MZAZI Anaitwa Marko Shija Kabadi MLEBESHI. Kwa hiyo, jina langu nilopewa na Wazazi ni Majaliwa Marko Shija Lakini KwA sababu ya kulelewa na Ba mkubwa Wakati ananisomesha shule aliamua kuniandikisha KwA jina lake la Deus Shija.

Historia yangu binafsi.

Naitwa Majaliwa Deus Shija. Nilizaliwa Mwaka 1991,kijiji cha Ishiganva wilaya ya Mbogwe mkoani Geita katika nchi yangu ya Tanzania.

Mimi ni mzaliwa wa kwanza kwa Mama Yangu Ndakilwa SENGASENGA magembe,tulizaliwa watatu, yaani Mimi, Dada Upendo Marko Shija, na mdogo wetu wa kiume Furaha Marko Shija.

Baba yangu alikuwa na ndoa ya wanawake wengi.

Mwaka 2001 Mjomba wangu aliniandikisha darasa la awali na kuanza masomo Ya elimu ya Msingi nchini mwetu katika shule ya Msingi Mwamazengo katika Mkoa WA MWANZA.

Mwaka 2002 Nilihamishiwa katika shule ya Msingi Nyankende iliyoko wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga,hapo niliendelea na darasa la pili.

Mwaka 2003 Nilihamishiwa katika shule ya Msingi Bulega iliyoko wilayani Bukombe mkoani Geita,hapo niliendelea na darasa la tatu. Niliendelea hapo nikisomeshwa na Baba mkubwa mzee DEUS SHIJA KABADI MLEBESHI,na ndiye aliyeniita "Majaliwa Deus Shija "kutoka Majaliwa Marko Shija.

Maisha ya mzazi wangu- mzee Marko Shija yalikuwa ya kimaskini.

Alipotoka kifungoni Jela Mwaka 2017.Aliendelea kunisomesha Kidato cha kwanza Mwaka 2018 nilifaulu mtihani wangu WA Taifa wa kuhitimu darasa la Saba 2017.

Mwaka 2018 Niliendelea na Kidato cha kwanza Bulega secondary school mpaka Mwaka 2011 Nilifanikiwa kuhitimu elimu yangu ya secondary na kutunukiwa Cheti katika ufaulu wa daraja la nne,alama ya 28-division four nikiwa nimefaulu combination of PCB (PHYSICS, CHEMISTRY AND BIOLOGY unaweza kuona katika tovuti ya baraza la mitihani la Tanzania www.necta.go.tz//results 2011/Bulega secondary school).

Mwaka 2012 Kutokana na umaskini wa nyumbani kwetu sikuweza kuendelea na masomo Ya chuo CHA uuguzi KwA sababu ya kukoswa hela ya Karo ya chuo. July Mwaka huo huo niliamua kwenda kutafuta Maisha Katika wilaya ya Bukoba mkoani KAGERA.Ambapo niliajiliwa kazi za nyumbani KwA MBUNGE Bernadetha Kasabago Mushashu,

27.11.2015 Nilifanikiwa kupata mtoto wa pili Jenitha Majaliwa Deus. Baada ya Mwanangu Jonas aliyezaliwa 01.06.2008.

Mke wangu Anaitwa Benedicta selestine Tibenda.Kiwango chake cha Elimu ni shule ya Msingi ,aliyoipata KATIKA shule ya Msingi katoma wilaya ya Bukoba vijijini mkoani KAGERA.

Mke WANGU ni mzaliwa wa KIJIJI cha katoma,wilaya ya bukoba vijijini mkoani KAGERA.

Mpaka may,2019 Mimi na mke wangu Tulikuwa na watoto wawili JONAS na Jenitha.