Majadiliano ya mtumiaji:Leonard Ngowo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bwana Leonard, karibu sana kwenye wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja aliye tayari kuchangia. Karibu! Ukiwa na swali - usisite kuuliza maswali. Ukiendelea kuandika: ni vema kukumbuka viungo kati ya makala na kutaja jamii. Angalia mfano wa uhariri wangu wa makala "Sua".

Si utaratibu kuandika hapa kama ni ukurasa wako lakini nahisi wewe ni mgeni. Natumaini utaona salamu hizi na kujibu. Baadaye nitaifuta mbele na kuiacha kwenye ukurasa wa majadiliano ambako ni mahali pake. --Kipala 20:43, 5 Januari 2007 (UTC)[jibu]