Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Kirina

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ni msomi wa chuo kikuu cha strathmore,jijini nairobi,Kenya.mkaaji wa nairobi tangu kuzaliwa.nilijiunga na shule ya msingi ya milimani iliyoko adams arcade na kumaliza masomo mwaka wa 2004,kisha shule ya upili ya Lenana iliyoko ngong road ambapo nilimaliza mwaka wa 2008. mimi hupenda michezo ikiwemo mpira wa kandanda, raga na "badminton".pia hufurahia kusoma vitabu hasa za tawasifu,kuanagalia runinga na kutalii.me:

Start a discussion with Kirina

Start a discussion