Majadiliano ya mtumiaji:Joshua Michael Njogolo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mimi Naitwa Joshua Michael Njogolo, toka Tanznaia nilikuja hapa marekani kusoma kutokana na Juhudi kubwa sana na kuwaza mbadala na kukataa ahadi hewa nyingi toka kwa baadhi ya viongozi wetu huko Tanznaia. Hivyo Nilijua kuwa hakuna njia nyingine ni kupambana na nilijua kuwa siku moja Mungu atafanya kitu kwangu. Nilikuwa mtafiti sana huko hivyo hilo hali niweza kunisaidia kufanya na kutafiti katika Internet kwa muda mrefu sana. hatimaye ndoto yangu kwa miaka mingi sana kuja kusoma huko imetia mwaka huu. Hivyo nilijua kuwa inawezakana kabisa. Nimekuja hata kwa sababu ya Interntet hivyo kila . Baada ya kuonana na watu wazuri sana na kufanya nao mazungumzo wao ndio wana jukumu langu. Hivyo siku zote lazima tufanye na kujiamini kuwa sisi tunaweza na kuacha kukesha kwa ahadi hewa nyingi za serikali. natoka katika familia ya watu maskini kabisa hivyo hii ilikuwa kama vile ndoto kwao.Lakini kwa wale wanajua vizuri history yangu wanaweza kusema vizuri kuwa hii sio bahati bali ni juhudi kubwa hata moyo mkubwa usiokata tamaa wala kukoma pamoja na Mungu yeye mwenyewe. Asante sana kwenu watu wote wa Tanzania


Hivyo lazima kuwa na Vijana kuwaza na kufanya mambo makubwa sana. Hivyo Pia serikali ya Nchi nyingi za dunia ya tatu ziache kuwafanya Watu wao na mawazo na Ahadi Kibao na kuwa pumbaza akili zao kwa Ahadi Hewa. Pia nilisoma Shule Mbalimbali sana katika Chi ya Tanzania na hivyo nilikuwa najua fika kabisa nitafanya mambo makubwa sana. Nilianza Shule ya Msingi kule Mkoani Iranga(Njombe) Pia nilisoma mpaka Darasa la Sita na Kuahamia Dar Katika Shule ya Msingi Madenge kusoma Mpaka Darasa la SABA. Nilianza Form one kule Kilimanjaro Tanzania na kusoma mpaka Form 3 na kuhamia Tanga Tanzania Shule ya Sekondari Mombo na Kumaliza Form 4 . Nilianza kusaidia jamii yangu wa kufanya shughuli nyingi za jamii kwa kujitolea kwa kipindi cha miaka Miwili kabla ya Kurudi High School Mwaka 2004 hivyo nilisoma Shule ya Tegeta High School, Dar Tanzania na kumaliza mwaka 2006 na hivyo kutokana na sera mbovu ya CCM ya Kugawa na kupewa Mikopo tulilazimika kukaa kwa mwaka huku Juhudi kubwa sana nilifanya kuamini kuwa nitakwenda shule. Akili yangu mawazo yangu hayakuwa Tanzania na Kusoma huko. Japo watu waliona kuwa kama vile napoteza muda lakini nilijua nafanya nini. Hivyo Kuja Kusoma katika Chuo Huko Marekani ni Mapenzi ya Mungu mwenyewe wala hakuna mtu mwingine anaweza kujisifia kuwa anaweza kufanya hivi. Hivyo basi kama wewe una Ndoto yako Kuwa makini na kufanya vile unavyoamini wewe.