Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Johnjosephtz/Linah sanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Estalina Peter Sanga (Alizaliwa 17 machi,1990),Maarufu anajulikana kama Linah ni Mtanzania muimbaji wa Bongofleva, Muziki wa nafsi na R&b,mwigizaji,mjasiriamali kutoka jijini Dar es salaam,Tanzania. Akiwa na takribani miaka tisa aliweza kujiunga na kwaya ya kanisa kama mwanzo wa ndoto yake ya muziki na hapo badae kualikwa na muimbaji mashuhuri Remmy Ongala wa bendi ya Matimila kwajili ya kujiunga na bendi. 2009 Linah alijiunga na nyumba ya vipaji ijulikanayo kama House of Talent(THT). Kati ya nyimbo pendwa alizoshiriki Linah ni pamoja na "Kizaizai" akishirikiana na Diamond platnumz pamoja na "Ole Themba" akishirikiana na Uhuru kutoka Afrika ya kusini. Tuzo zilizowahi nyakuliwa na Linah ni pamoja na Kili mziki,KTMA & AFRIMA.{| class="wikitable" |+ WASIFU |- !  !! |- | Siku ya kuzaliwa || 17 machi,1990 |- | jina la kuzalia || Estalina Peter Sanga |- | mahali pa kuzaliwa || Dar es salaam, Tanzania |- | Asili || Iringa |- | Muziki || Bongo fleva, Mziki wa nafsi na R&b |- | kazi || Mwimbaji, Muigizaji na Mjasiriamali |- | Miaka ya kazi || 2009 - mpaka sasa |- | Wasanii aliowahi shirikiana nao || Barnaba,Amini, MWanaFa, Countryboy, Diamond platnumz, Youngkiller, Christian Bella, HArmonize, Q chillar, Uhuru, Rachel, Elizabeth michael. |- | Mitandao ya kijamii || OfficialLinah |- |}

viungo [1] [2] [3] MApenzi_Ya_Mungu [4] [5] [6] [7] [8] [9] [10] [11] [12] [13]