Majadiliano ya mtumiaji:Inspector Haroun

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndugu Haroun, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Kuna kazi nyingi. Naomba uangalie makala ya "Msaada wa kuanzisha makala" (utaipata pia kwa kubonyeza "msaada" hapo upande wa kushoto). Ukiwa na swali lolote uliza tu. Wakati huu ni hasa Oliver, Ndesanjo pamoja nami walio tayari kusaidia.

Katika makala yako nimeandika maswali kadhaa kwenye ukurasa wa majadiliano: "Habari za kimsingi hazimo - Je amezaliwa wapi? Jina lake la kiraia ni lipi? Amesoma wapi na hadi kiwango gani? --Kipala 17:22, 24 Agosti 2007 (UTC)[jibu]