Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Deusdedith Binamungu Severian

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Swali? Ni kwa nini ukiitazama nyumba iliyojengwa kwa pembe nne tokea kwa mbali uonekana ikiwa katika umbo la mviringo?

Upeo wa Macho[hariri chanzo]

Swali? Ni kwa nini ukiitazama nyumba iliyojengwa kwa pembe nne tokea kwa mbali uonekana ikiwa katika umbo la mviringo? Binamungu (majadiliano) 04:23, 3 Novemba 2021 (UTC)[jibu]

MATUMIZI YA MKAA[hariri chanzo]

Je, ni kweli kwamba Watanzania wazuiliwe kutumia mkaa kwa lengo la kudhibiti uharibifu wa mazingira au Serikali kuna mahali imeshindwa kusimamia kikamilifu katika kuhifadhi na kukinda mazingira na kuja na kisingizio cha mkaa?

Je, Serikali imeandaa na kuwapa uwezo endelevu wankutumia nishata mbadala au ni pupa tu? TOA MAJIBU 197.186.6.67 19:11, 22 Julai 2022 (UTC)[jibu]