Majadiliano ya mtumiaji:Daudtza93

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daud Lyon[hariri chanzo]

Daud Lyon (alizaliwa December 15, 1993), ni Baba wa mtoto mmoja wa kike anayeitwa Tammy lyon, jina lake lingine ni Daud Suleiman,ni Mpiga na mjasiliamali kutoka tanzania. Baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha nne Daud Lyon aliondoka nyumbani kwao Nachingwea upande wa kusini mwa Tanzania na kwenda Dar es salaam kuanza maisha mapya ya utegemezi wake binafsi.

Mwaka 2012, Daud Lyon aliamua kuboresha kipaji chake cha upigaji picha, miaka 3 baadae alifanikiwa kupata umaarufu kutokana na kufanya kazi na baadhi ya viongozi wa serikali na siasa ndani ya Tanzania. Mwaka 2017 Daud Lyon alianza kutumikia fani ya uandishi wa Habari kupitia Kampuni ya Uhuru Publications ltd.

== Familia ==