Majadiliano ya mtumiaji:CJudy24/Ushirika wa vijana na wazee.
Mandhari
Maelezo yanahitajika
[hariri chanzo]Ndugu @CJudy24,
Naomba kufahamu, je makala hii ulitafasiri kutoka katika makala ya kiingereza? kama ndiyo tafadhari naomba jina la makala ya kiingereza.
Amani kwako. MagoTech Tanzania (majadiliano) 23:58, 12 Machi 2023 (UTC)