Majadiliano ya mtumiaji:CJudy24/Harakati za Vijana

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maelezo yanahitajika[hariri chanzo]

Ndugu @CJudy24,

Naomba kufahamu, je makala hii ulitafasiri kutoka katika makala ya kiingereza? kama ndiyo tafadhari naomba jina la makala ya kiingereza.

Amani kwako. MagoTech Tanzania (majadiliano) 23:48, 12 Machi 2023 (UTC)[jibu]