Majadiliano ya mtumiaji:Bahari United FC

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

HELP BAHARI YOUTH[hariri chanzo]

Kwa niaba ya kamati ya BAHARI UNITED FOOTBALL CLUB tunaomba uungwaji mkono ili kusapot vipaji vya vijana wetu wa bahari, Kwa historia fupi ya bahari, munamo mwaka wa 2012 bahari iliaza kushiriki ligi za Football Kenya Federation (FKF) ligi za kaunti na region, kwa sababu za fedha bahari ilikosa kupanda daraja hadi munamo mwaka wa 20218 ndio ikapata fursa ya kupanda daraja la pili mkoani pwani, na imeshiriki hadi mwaka wa 2021/2022 ndio bahari ikashindwa kupata nafasi ya kuendeleza kucheza daraja hilo la pili kwa sababu ya fedha, ikabidi bahari ikashukishwa darala hadi region.

Waenza kutufata kwa mitandao ya kijamii

P.O.Box: 28 Mtwapa Kenya

TEL: +254 702795165/ +254 710812241

EMAIL: bahariunitend@gmail.com

Facebook: Bahari United FC

Asanteni🙏🏽 Bahari United profile (majadiliano) 01:12, 22 Juni 2022 (UTC)[jibu]