Majadiliano ya mtumiaji:Babbage

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Babbage, karibu sana katika wikipedia ya Kiswahili!

Umeandika "Sizungumzi Kiswahili". Lakini umeandika makala mfupi lakini nzuri kuhusu "Utendi". Hongera!

Ukitaka kujaribu makala ambayo si ngumu: tunahitaji makala za nchi za Amerika na Asia! Kazi nzuri ya kuanza ni kunakili "country box" kutoka wikipedia ya Kiingereza na kuiweka katika makala mpya ya Kiswahili. Utaona sehemu kubwa ni Kiswahili tayari. Unahitaji kufanya masahihisho kadhaa tu. --Kipala 20:32, 3 Oktoba 2006 (UTC)[jibu]