Majadiliano ya kigezo:NPO
Mandhari
Katika wikipedia hamna mwenye kazi yake binafsi. Watu wote tunashirikiana katika kuunda au kuendeleza jambo lolote lile lenye kuhitaji ushirika, hivyo kila mtu ana haki ya kuweka makala, template na vitu vyote vinavyojiri katika wiki hii.--Mwanaharakati 08:17, 22 Desemba 2007 (UTC)