Majadiliano ya jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Pendekezo: Utalii ni sekta nyeti na yenye kuliingizia Taifa pato kubwa, kwa ushauri kanini sekta hii isijipanue yenyewe kwa kuwasomesha wataalamu wengi zaidi katika ngazi ya shahada ambao hawatategemea mkopo kutoka Bodi ya mikopo? Hii ni kulingana na uhitaji wa wasomi ambao watakuwa washauri wakubwa katika ushindani wa kibiashara ndani na nje ya Tanzania, na hasa kama mabalozi wa utalii nje ya nchi wenye taaluma ya utalii katika nyanja tofautitofauti ndani ya utalii.