Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya jamii:Falsafa ya Kiafrika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Je wazungu wasingekuja afrika au Tanzania kusingekuwa na dini au imani?je waafrika wana falsafa?kama ipo ni ipi?tanzania kuna uchawi?pia katika nchi za magharibi kuna uchawi?je ni kweli kuwa ukimwua mtu mwenye ulemavu wa ngozi(Albino)utapata utajiri?je watanzania wanaamini kuwa wakubwa kama wazazi wanaweza kutoa laana au kubariki watoto,kuna ushahidi?mungu ni nani?asili yake nini?ndugu msomaji au mfuatiliaji wa falsafa ya kiafrika majibu ya maswali haya ukiyahitaji nitumie barua pepe kwenye anuani hii; phabijohn@yahoo.com.au unaweza kutoa majibu au mchango wako wa mawazo kupitia safu hii. (Iliandikwa tar. 25.02.2009 mnamo saa 06:27 na mtumiaji:41.221.44.246)