Majadiliano ya Wikipedia:About

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tunaweza kusaidiana kuandika endapo mmoja wetu atakuwa na muda wa kufanya hiyvyo. Si vibaya tukiandika wikipedia ni nini kuliko kukaa kimya bila kufuatilia kurasa hizi. Wenzetu wote wana kurasa hii, ispokuwa sisi tu ndio hatuna. Jamani tufanye tuweke na sisi!! Mie nime kopi haya maelezo kutoka simple wiki, na nitajaribu kuyatafsri lakiki pia tusaidiane. Manake kuna kawaida wakubwa wote hamshuguliki na kurasa hizi zinazo husu wikipedia, je hivyo ni sawa!! Basi tuendeleeni kuitafsri kurasa hii..--Mwanaharakati 07:12, 23 Januari 2008 (UTC)