Majadiliano:Wokovu
Mandhari
Wamormoni
[hariri chanzo]@Riccardo Riccioni: Labda nieleze sababu ya mimi kuondoa ile picha ya wamormoni: Iliingizwa na IP kwenye makala mengi ya lugha mbalimbali, kama es:Idioma suajili, fr:Swahili n.k. Nadhani ni "cross-wiki vandalism". --Rsk6400 (majadiliano) 16:57, 8 Machi 2021 (UTC)