Majadiliano:Wilaya ya Serengeti
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Wilaya ya Serengeti. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Wilaya ya Serengeti ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
MIRA NA TAMADUNI ZA SERENGETI
[hariri chanzo]SERENGETI ni sehemu,maarufu saana duniani kote,kutokana na umaarufu wake pamejikuta panapewa jina la utani; MJI MKUU WA DUNIA kutokana na umahili,wake ,hakuna,asie tamani,kufika serengeti vile vile napenda kuwaambia kwa wale wasiojua ,kwa maana kuna watu wanajua,SERENGETI ipo arusha wanadhindwa kutofautisha makao makuu ya TANAPA na serengeti,arusha ni makao makuu ya Tanapa na serengeti ipo,mkoa wa mara
ASILI YA SERENGEI
Ndani,ya wiraya ya,SERENGETI kuna,makazi ya watu, na,raia wanao,ishi serengeti ni kabila mbali mbali ila naomba nikupe kabila asilia za wiraya ya serengeti
kabila asilia zipo nne ndani ya wilaya ,simanishi saizi namanisha kabila anzilishi za wilaya enzi hizo
ndani ya kabila hizo kazi,zao,zilikuwa ni uwindaji na ufugaji japo,kwa kiwango,kidogo
vyakula vyao vya asili ni jamii ya,mizizi na mbegu
pia wanapenda saana ugali na nyama kuliko mboga,za majani na ugali,huo,usipikwe laini saana
makabila hayo,ni, WAISENYE,WAIKOMA ,WANGURIMI,NA WANATTA na asili,yao walitokea ROGORO Soncho baada ya vita dhidi ya masai na kujikuta vita hiyo inawatenga na masai kwa kukimbilia sengeti na masai kubaki ngorongoro
AINA YA KUHIFADHI VYAKULA
Jamii hii ina asili sawa na jamii nzima ya mkoa wa mara wanatunza vyakula kwenye maghala na vilevile kukausha kwa njia asilia chakushangaza jamii,hii inaweza hifadhi hata nyama,kwa mwaka mzima na inakuwa na ladha nzuli,na tamu zaidi
KIMORO
Hii ni,aina ya nyama inayo,tengenezwa na kuhifadhiwa kwa mda,mlefu,saana, na pia,nyama hii hukaushwa kwa jua tu
KONGO/AMAKALA
Hii ni aina ya matilio yanayo,tumika,kutengeneza pombe asilia inayojulikana kama AMACHICHA Na pombe hiyo inapo kuwa na siku mbili huwa tamu mithili,ya togwa huitwa OMSALO pia matilio hayo,ambayo ni,unga wa mahindi uliokaangwa kwenye kaango,maalumu unaweza tunzwa hata miezi madhaa
makabila yote haya manne wanaweza,kaa pamoja na kupiga stori kwa pamoja kila,mmoja akitumia lugh yake isipo kuwa maneno machche na matamshi
naomba nikomee hapo kwa leo siku nyingine tena tutaendelea nina mambo mengi ya kuwaelimisha by 0784660623 nyakitono home augustino yohana korondi