Majadiliano:Wazazi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlezi na mzazi[hariri chanzo]

Tofauti ya mzazi na mlezi, mzazi ni baba au mama ambaye anauhusiano kwa kijenetiki na mtoto wake lakini mlezi anaweza kuwa mtu baki anahudumiwa mahitaji ya kijamii kwa mtoto japo hakuna mahusiano kijenetiki 169.255.184.125 19:44, 6 Desemba 2023 (UTC)[jibu]