Majadiliano:Wanyakyusa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chimbuko la Wanyakyusa[hariri chanzo]

Ni kweli wanyakyusa wengi wanapenda kufanya ibada hata kama hawaoni uwepo wa Mungu. Wengine wanasema wanyakyusa hasa wa kyela walitokea Morogoro katika maeneo ya kilimo cha mpunga. sababu kubwa iliyowatoa huko ilikuwa ni kutuhumiwa na mambo ya kishirikina hivyo wakafukuzwa. N.B Hizi taarifa sio rasmi ila kuna mtu/watu waliokuwa wanazungumzia hoja hiyo, katika nyongeza ya mazungumzo yao walihusisha pia vita ya wanyakyusa na wasafwa kugombea maoneno ya Mbeya mjini. Tafadhali mwenye maelezo au documement ya Historia hii ni vyema tuelezane ili kizazi kinachokuja kisiendelee kupotoshwa.

Ahsante

41.59.198.106 05:25, 9 Machi 2023 (UTC)[jibu]