Majadiliano:Vasco da Gama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

VASCO DA GAMA ALIKUWA BAHARIA NA MPELELEZI KUTOKA URENO NA PIYA ALIKUWA MZUNGU WA KWANZA ALIYEFIKA UHINDI KWA KUZUNGUKA RASI YA TUMAHINI JEMA KUSINI MWA AFRIKA UPANDE WA DINI ALIKUWA MKRISTO WA KANISA KATORIKI TENA MWANACHAMA WA UTAWA WA TATU MT.FRANSISKO PIA VASKO DA GAMA ALIKUWA NA MRADI ULIOFATWA NCHINI URENO TANGU SIKU ZA MFALME HENRIQUE BAHARIA