Majadiliano:TC

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timothy Chelula ( TC ) ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya lebo ya kurekodi inaitwa TC Art Music iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. TC ambaye ni mweneji wa mkoa wa Iringa anaetokea kwenye ukoo wa Chelula,TC alianza kuupenda Muziki tangu alipokuwa akisoma elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Makongo iliyopo Dar es Salaam