Majadiliano:Seli nyeupe za damu
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 2 iliyopita by 155.12.81.64 in topic seli nyeupe
seli nyeupe
[hariri chanzo]swali langu ni je mtu akiambiwa na dr. kuwa seli nyeupe zimezidi mwilini inamaanisha nini naomba kujua chanzo chake na vipi mtu utapunguza seli hizo? 155.12.81.64 09:48, 27 Februari 2023 (UTC)