Majadiliano:Ruangwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii imeonekana ni taarifa fulani iliyonakiliwa humo. Nimejaribu kubainisha vichwa vya vipengele lakini sijamaliza nakosa muda sasa.

Tatizo ni haitaji chanzo chake. Ingekuwa vema kama mwenzetu aliyechangia angeangalia makala mengine na kuuliza hapa jinsi ya kuboresha makala. Pia si vizuri kunakili tu. Kuna kazi bado. --Kipala 06:51, 25 May 2007 (UTC)

Mwishoni mwa makala mwandishi ametaja "Kitabu cha LAAC, 2005". Sijui kinapatikana wapi lakini angalao ni chanzo. --Oliver Stegen 08:47, 25 May 2007 (UTC)