Majadiliano:Paraguay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuhusu tarehe ya uhuru wa Paraguay, makala hazikubaliani. Hii inasema tarehe 14 Mei, lakini makala ya 1811 inataja 15 Mei. Tarehe ipi ya kweli? --Oliver Stegen 13:28, 24 Oktoba 2006 (UTC)